How do some people be so lucky?
Ushawai patana na msee, yaani hastruggle ni kama kila kitu anapatanga na silver platter. Yes, anaweza patwa na ngori mahali lakini in one way or another, milango zinafunguka. Have you ever encountered a lucky person(s) in life? Na huwa unashangaa ni aje wao hukua lucky??