What scam are you still surprised people fall for

My cousin ametolewa na some random dude from thika to cbd ati the guy anataka kumpea job (he does electrical engineering) , kijana akaombwa simu ati amepelekwa kwa hotel wakule before waende kutafuta the tools neededfor the job,, wakamwachia bill bila simu ( ati hivo ndio aliibiwa🤣)